comment Add Comment
Posted on Last updated

Tanzanian Preacher,Bukuku,Prophesies The Winner Between Uhuru & Raila on Oct 17

A Tanzanian preacher, Esther Bukuku, has prophesied the victor between President Uhuru Kenyatta and NASA leader Raila Odinga in the upcoming Presidential repeat poll.

The little known preacher, who ministers at the PMIC Church in Moshi,has gone viral after she made the revelation during a sermon to her congregation on September 3 that President Uhuru will emerge victorious.

SEE ALSO:You are Not My Type..I Go Out With Mature Men-Passaris To Duale

The minister, who claims the revelation was made to her in dream, further says no violence will be witnessed in Kenya.

This is what she said:

“Mungu akanijia kwa mara ya tatu akanionyesha, kwamba Odinga, nimembariki sana. Tena ni tajiri . Akaniambia utajiri alio nao, hata hahitaji kugombea kiti anachotaka. Yeye tu ni jina MIMI RAIS.

Akasema nataka moyo wa huyu utambue baraka zangu”. Yaani Mungu anamtaka atambue yeye ndiye anaebariki na amembariki. Ndicho kitu Mungu anahitaji.

“Kwa habari ya nafasi kumiliki hiki kiti, sijaweka neema kwake. Neema nimeiweka kwa UHURU. Nimeiweka kwa Uhuru huyu kijana mdogo.Mdogo kabisa. Nimeweka neema kwake”.

Kwa hivyo akaniambia mwanangu tofautisha mambo mawili. Kati ya kumbariki mtu, na kuwachilia neema/kibali. Kuwachilia kibali . Yaani tofautisha kati ya kumbariki mtu na (kumpa) kibali. Naweza kukupenda lakini nisikupe kibali. Naweza kupa pesa. Naweza kupa kila kitu, lakini si kibali.

Kibali ni cha muhimu sana kwenye maisha ya mtu. Ukiwa ni mtu mwenye kibali, utakuwa na hekima ya kuelewa kwamba HIKI KITI KIMENIKATAA. Sawasawa na kumgombania dada na mwanaume mwenzio wakati ambapo dada hakutaki.

 READ ALSO:The Crazy Amount Moses Kuria “Contributed” To NASA’s Campaign via Their Paybill

Mungu amenionyesha, Kenya tukiomba hawatamwaga damu. Lakini tusipo omba, moyo wa Odinga, shetani anataka kuutumia kutimiza mabaya.

Mungu ameniambia, “Kama akikubali na kuniskiliza, nitambariki mara dufu. Yaani huyu baba atakuwa ni bilionea tu. Anachohitaji sasa ni watu wa kumpa advice. Na maombi haya tukiomba, Mungu atainua watu.

Here is the video;

President Kenyatta will battle it out with Mr Odinga for the second time on October 17th, after the Supreme Court nullified Uhuru Kenyatta’s win.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *